Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Mei uku. 3
  • Timiza Nadhiri Zako

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Timiza Nadhiri Zako
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Je! Ni Lazima Tutimize Nadhiri Zetu?
    Amkeni!—1993
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2002
  • “Kile Unachoweka Nadhiri, Timiza”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Mei uku. 3

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Timiza Nadhiri Zako

Nadhiri za Waisraeli zilitolewa kwa hiari lakini walipaswa kuzitimiza (Hes 30:2; it-2 1162)

Nadhiri zinaweza kutia ndani kuepuka vitu ambavyo havijakatazwa (Hes 30:3, 4; it-2 1162)

Siku hizi Yehova anashughulika na waabudu wake wakiwa mtu mmoja-mmoja (Hes 30:6-9; w04 8/1 27 ¶3)

Nadhiri mbili muhimu zaidi ambazo Mkristo anaweza kuweka leo ni nadhiri ya wakfu na nadhiri ya ndoa.

Picha: Watu wakiweka nadhiri. 1. Msichana akisali. 2. Wenzi wa ndoa wakivalishana pete kwenye arusi yao.

JIULIZE, ‘Je, ninaishi kulingana na nadhiri ambazo nimejiwekea?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki