Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Machi uku. 10
  • “Mimi Ni . . . Urithi Wako”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Mimi Ni . . . Urithi Wako”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Jinsi Yehova Anavyowaongoza Watu Wake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Jihadhari Dhidi ya Kiburi na Kujiamini Kupita Kiasi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Endelea Kutafuta Mwongozo wa Yehova
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Yehova Ni Fungu Langu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Machi uku. 10

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

“Mimi Ni . . . Urithi Wako”

Yehova aliwapa makuhani na Walawi pendeleo la utumishi lenye thamani kubwa (Hes 18:6, 7)

Kabila la Lawi halikupewa ardhi kuwa urithi, Yehova alikuwa urithi wao (Hes 18:20, 24; w11 9/15 13 ¶9)

Taifa lilitoa sehemu ya kumi ya mazao yake ili kuwategemeza Walawi na makuhani (Hes 18:21, 26, 27; w11 9/15 7 ¶4)

Yehova aliwaahidi makuhani na Walawi kwamba angewapa mahitaji yao ya msingi. Tunaweza kuwa na uhakika kwamba Yehova atatutegemeza tukijidhabihu ili kumtumikia.

Picha: Yehova akiwaandalia watumishi wake mahitaji ya kimwili. 1. Dada akiingiza pesa katika bahasha. 2. Bahasha hiyo ikiwa chini ya mlango. 3. Mama asiye na mwenzi akimkumbatia binti yake huku akitazama pesa zilizo ndani ya bahasha hiyo.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki