Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Mei uku. 15
  • Juni 28–Julai 4

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 28–Julai 4
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Mei uku. 15

Juni 28–Julai 4

KUMBUKUMBU LA TORATI 9-10

  • Wimbo 49 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Mungu Wenu Anataka Mfanye Nini?”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kum 9:1-3—Ingawa wana wa Waanaki walikuwa watu wenye “nguvu na warefu,” kwa nini Waisraeli hawakupaswa kuwaogopa? (it-1 103)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Kum 10:1-22 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? na uizungumzie (lakini usionyeshe video). (th somo la 9)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) fg somo la 12 ¶4-5 (th somo la 18)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 135

  • Michezo ya Video: Je, Kweli Wewe Ndiye Mshindi?: (Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha waulize wasikilizaji: Michezo ya video inaweza kukuibia katika njia gani? Ni mambo gani maishani ambayo ni muhimu zaidi ya michezo ya video? (Efe 5:15, 16) Mchezo wa video unaopenda unafunua nini kukuhusu? Unawezaje kuwa mshindi wa kweli?

  • “Fanya Maamuzi Yenye Hekima Kuhusu Kileo”: (Dak. 8) Mazungumzo. Onyesha video Fikiria Madhara Kabla ya Kunywa.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 10 ¶1-7, video ya utangulizi

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 3 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki