Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Januari uku. 10
  • Februari 7-13

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 7-13
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Januari uku. 10

Februari 7-13

1 SAMWELI 1-2

  • Wimbo 44 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mmiminie Yehova Moyo Wako Katika Sala”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 1Sa 2:10​—Kwa nini Hana alisali kwamba Yehova “ampe mfalme wake nguvu” ingawa wakati huo hakukuwa na mfalme wa kibinadamu aliyetawala Israeli? (w05 3/15 21 ¶5)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 1Sa 1:1-18 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa broshua Furahia Maisha Milele! na mzungumzie kwa ufupi “Jinsi ya Kunufaika Zaidi na Masomo Haya ya Biblia.” (th somo la 20)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lffi somo la 03 jambo kuu namba 5 (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 133

  • “Vijana—Wafunulieni Wazazi Wenu Kilicho Moyoni”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Maisha Yangu ya Utineja—Ninaweza Kuzungumzaje na Wazazi Wangu?.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 20 ¶1-8, video ya utangulizi

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 113 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki