Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Machi uku. 4
  • Machi 21-27

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 21-27
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Machi uku. 4

Machi 21-27

1 SAMWELI 16-17

  • Wimbo 7 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Vita Ni vya Yehova”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 1Sa 16:14​—Ni katika maana gani Sauli alipata “roho mbaya kutoka kwa Yehova”? (it-2 871-872)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 1Sa 16:1-13 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Mwaliko wa Ukumbusho: (Dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 11)

  • Mwaliko wa Ukumbusho: (Dak. 3) Mwalike mfanyakazi mwenzako, mwanafunzi, au mtu wako wa ukoo ambaye umewahi kumhubiria. (th somo la 2)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Mfanyie ziara ya kurudia mtu ambaye alikubali mwaliko wa Ukumbusho na alionyesha upendezi. (th somo la 4)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 3) Mfanyie ziara ya kurudia mtu ambaye alikubali mwaliko wa Ukumbusho na alionyesha upendezi. Mwelekeze kwenye tovuti yetu. (th somo la 20)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 150

  • “Njia Tatu za Kumtegemea Yehova”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Hatuhitaji Kuogopa Mateso.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 22 ¶10-22

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 13 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki