Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Mei uku. 5
  • “Upendo . . . Hutumaini Mambo Yote”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Upendo . . . Hutumaini Mambo Yote”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Jifunze Kutoka kwa Watumishi Washikamanifu wa Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • “Endeleeni Kutembea Katika Upendo”
    Mkaribie Yehova
  • “Upendo . . . Haujivuni”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Mtumaini Yehova na Uwe Hodari
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Mei uku. 5

MAISHA YA MKRISTO

“Upendo . . . Hutumaini Mambo Yote”

Tukiongozwa na upendo usio na ubinafsi, tunatumaini kwamba ndugu zetu watafanya maamuzi yanayofaa. (1Ko 13:4, 7) Kwa mfano, ndugu anapotenda dhambi na kupewa nidhamu, tunatumaini kwamba atakubali jitihada za kumrekebisha upya. Tunawaonyesha subira walio na imani dhaifu, na tunajitahidi kuwasaidia. (Ro 15:1) Mtu anapoacha kuwa sehemu ya kutaniko, hatukati tamaa kwamba atarudi.​—Lu 15:17, 18.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA KUMBUKA JINSI UPENDO ULIVYO​—HUTUMAINI MAMBO YOTE, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Abneri alifanya mabadiliko gani?

  • Daudi aliitikiaje ombi la Abneri naye Yoabu alitendaje?

  • Kwa nini tunapaswa kutumaini ndugu zetu watafanya mambo yanayofaa?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki