Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Mei uku. 6
  • Mei 23-29

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 23-29
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Mei uku. 6

Mei 23-29

2 SAMWELI 4-6

  • Wimbo 135 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Dumisha Woga Unaofaa wa Kumkasirisha Yehova”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Sa 6:8, 9​—Tunajifunza nini kutokana na jinsi Daudi alivyoitikia baada ya kuona hasira ya Yehova? (w96 4/1 29 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Sa 4:1-12 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida. (th somo la 12)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? (lakini usionyeshe video). (th somo la 9)

  • Hotuba: (Dak. 5) w05 10/1 23-24 ¶14-15​—Kichwa: “Mwogopeni Mungu na Kumpa Utukufu.”​—Ufu 14:7. (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 143

  • “Je, Uko Tayari Kukabiliana na Misukosuko ya Kijamii?” (Dak. 15) Mazungumzo yakiongozwa na mzee. Onyesha video Je, Umejitayarisha Kukabiliana na Majanga? Tia ndani vikumbusho kutoka kwa ofisi ya tawi na kutoka kwa baraza la wazee, ikiwa vipo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 05

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 96 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki