Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Mei uku. 10
  • Juni 13-19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 13-19
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Mei uku. 10

Juni 13-19

2 SAMWELI 11-12

  • Wimbo 121 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Usiruhusu Tamaa Mbaya Zikuongoze”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Sa 12:13​—Ni zipi baadhi ya sababu zilizomfanya Yehova asiwaue Daudi na Bathsheba? (it-1 590 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Sa 11:1-15 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mweleze mwenye nyumba kuhusu mpango wetu wa kujifunza Biblia kupitia broshua Furahia Maisha Milele! na umuulize ikiwa angependa kujifunza. (th somo la 11)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa broshua Furahia Maisha Milele! na uanzishe funzo la Biblia katika somo la 01. (th somo la 13)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 05, jambo kuu namba 5 (th somo la 15)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 29

  • “Dhibiti Tamaa Zako”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Usiruhusu Maisha Yako Yaathiriwe na Sigara.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 08

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 28 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki