Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Mei uku. 9
  • Daudi Alionyesha Upendo Mshikamanifu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Daudi Alionyesha Upendo Mshikamanifu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Umewahi Kuhisi Kama Umetengwa na Wengine?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Mefiboshethi Mwanamume Mwenye Kuthamini
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2022
  • Dumisha Woga Unaofaa wa Kumkasirisha Yehova
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Mei uku. 9

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Daudi Alionyesha Upendo Mshikamanifu

Daudi alitafuta mtu aliyehitaji kuonyeshwa upendo mshikamanifu (2Sa 9:1; w06 6/15 14 ¶6)

Daudi alitenda kwa haraka ili kumsaidia Mefiboshethi (1Sa 20:15, 42; 2Sa 9:5-7; w05 5/15 17 ¶12)

Daudi alimpa Ziba mgawo wa kutunza urithi wa Mefiboshethi (2Sa 9:9, 10; w02 2/15 14 ¶10)

Dada mwenye umri mkubwa akimkumbatia na kumfariji dada mwenye umri mdogo.

Daudi hakusahau ahadi aliyompa Yonathani. Tunapaswa kuwaonyesha waabudu wenzetu upendo mshikamanifu.​—Zb 41:1, 2; Met 19:17.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki