Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Julai uku. 6
  • Julai 18-24

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 18-24
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Julai uku. 6

Julai 18-24

2 SAMWELI 22

  • Wimbo 4 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mtegemee Yehova Akupe Msaada”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Sa 22:36​—Unyenyekevu wa Yehova ulimfanyaje Daudi kuwa mkuu? (w12 11/15 17 ¶7)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Sa 22:33-51 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha utoe broshua Furahia Maisha Milele! na utoe utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia? (lakini usionyeshe video). (th somo la 3)

  • Hotuba: (Dak. 5) w06 8/15 21 ¶7-8​—Kichwa: Je, Kila Tatizo Tunalokabili Husababishwa na Shetani? (th somo la 13)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 12

  • Shangilia Katika Matendo ya Wokovu ya Yehova: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha waulize wasikilizaji: Yehova alimsaidiaje Ndugu Ganeshalingam na familia yake wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sri Lanka? Jambo hilo linaimarishaje imani yako?

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 10)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff mambo makuu ya sehemu ya 1

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 60 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki