Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Septemba uku. 4
  • Septemba 12-18

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 12-18
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Septemba uku. 4

Septemba 12-18

1 WAFALME 11-12

  • Wimbo 137 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Chagua Mwenzi wa Ndoa kwa Hekima”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 1Fa 12:21-24​—Tunajifunza somo gani kutokana na utii wa Mfalme Rehoboamu? (w18.06 14 ¶1-4)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 1Fa 12:21-33 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo kwa ajili ya kampeni ya kuanzisha mafunzo ya Biblia. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Endeleza funzo la Biblia lililoanzishwa kwenye ziara ya kwanza, kwa kutumia somo la 01 la broshua Furahia Maisha Milele! (th somo la 11)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 07 jambo kuu la 4 (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 132

  • “Ndoa​—Muungano wa Maisha”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Kujitayarisha kwa Ajili ya Ndoa​—Sehemu ya 3:“Hesabu Gharama.”

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 19 jambo kuu la 1-4

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 63 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki