Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Septemba uku. 14
  • Oktoba 31–Novemba 6

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 31–Novemba 6
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Septemba uku. 14

Oktoba 31–Novemba 6

2 WAFALME 3-4

  • Wimbo 151 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mchukue Mwanao”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Fa 4:38​—Huenda “wana wa manabii” walikuwa nani? (it-2 697 ¶2)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Fa 3:1-12 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 17)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia? (lakini usicheze video). (th somo la 20)

  • Hotuba: (Dak. 5) w13 8/15 28-29​—Kichwa: Unaweza Kuigaje Unyenyekevu wa Elisha Katika Utumishi wa Yehova? (th somo la 15)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 129

  • “Hadi Ufufuo Utakapokuwa Halisi”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Mpendwa Wako Anapokufa.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 25

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 139 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki