Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Novemba uku. 10
  • Desemba 12-18

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 12-18
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Novemba uku. 10

Desemba 12-18

2 WAFALME 16-17

  • Wimbo 115 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Subira ya Yehova Ina Mipaka”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Fa 17:29​—“Wasamaria” wanaotajwa katika mstari huu walikuwa akina nani, na neno hilo lilirejelea nani baadaye? (it-2 847)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Fa 17:18-28 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mweleze kuhusu tovuti yetu, na umwachie kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 4)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? (lakini usionyeshe video) kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 20)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 08 jambo kuu la 5 (th somo la 9)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 3

  • “Endelea Kutarajia Mwisho kwa Uhakika”: (Dak. 5) Mazungumzo.

  • Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo: (Dak. 10) Onyesha video ya Desemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 31

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 74 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki