Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Januari uku. 6
  • Januari 23-29

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 23-29
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Januari uku. 6

Januari 23-29

1 MAMBO YA NYAKATI 4-6

  • Wimbo 42 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Sala Zangu Zinafunua Nini Kunihusu?”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 1Nya 5:10​—Ushindi wa Sauli dhidi ya Wahagri unaweza kututiaje moyo tunapokabili matatizo magumu sana maishani? (w05 10/1 9 ¶7)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 1Nya 6:61-81 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? (lakini usionyeshe video) kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 14)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 08 muhtasari, ungejibuje, na lengo (th somo la 9)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 127

  • “Jitayarishe Sasa Kukabiliana na Dharura ya Kitiba”: (Dak. 15) Mazungumzo na video. Yaongozwe na mzee. Tenga muda wasikilizaji kadhaa watoe maelezo baada ya video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 35

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 88 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki