Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Januari uku. 10
  • Februari 6-12

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 6-12
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Januari uku. 10

Februari 6-12

1 MAMBO YA NYAKATI 10-12

  • Wimbo 94 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Imarisha Tamaa Yako ya Kufanya Mapenzi ya Mungu”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 1Nya 12:33​—Wanaume 50,000 wa Zabuloni waliweka mfano gani mzuri? (it-1 1058 ¶5-6)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 1Nya 11:26-47 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Anzisha funzo la Biblia. (th somo la 12)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia? (lakini usionyeshe video) kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 6)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 09 utangulizi na jambo kuu la 1-3 (th somo la 18)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 97

  • “Jaribu Kuelewa Maoni ya Mungu”: (Dak. 10) Mazungumzo na video.

  • “Jiwekee Miradi kwa Ajili ya Majira ya Ukumbusho”: (Dak. 5) Mazungumzo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 37 jambo kuu la 1-5

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 91 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki