Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 2
  • Novemba 6-12

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 6-12
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 2

Novemba 6-12

AYUBU 13-14

  • Wimbo 151 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mtu Akifa, Je, Anaweza Kuishi Tena?”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ayu 13:12—Kwa nini Ayubu alilinganisha maneno ya wafariji wake wa uwongo na “methali za majivu”? (it-1 191)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ayu 13:​1-28 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video Ziara ya Kwanza: Biblia—2Ti 3:​16, 17. Simamisha video kila mara kunapokuwa na kituo, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yanayojitokeza kwenye video.

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa broshua Furahia Maisha Milele! (th somo la 2)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff mambo makuu ya sehemu ya 1 maswali ya 1-5 (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 127

  • “Weka Kando Kitu Fulani”: (Dak. 15) Mazungumzo na video. Ishughulikiwe na mzee. Pongeza kutaniko kwa kuweka kando pesa za kuunga mkono masilahi ya Ufalme.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) bt sura ya 1 ¶16-21

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 76 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki