Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 5
  • Novemba 20-26

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 20-26
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 5

Novemba 20-26

AYUBU 18-19

  • Wimbo 44 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Usiwaache Kamwe Waabudu Wenzako”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ayu 19:​1, 2—Tunaweza kujifunza somo gani kutokana na jinsi Ayubu alivyojibu maneno ya “rafiki” zake wasio na huruma? (w94 10/1 32)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ayu 18:​1-21 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 12)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwalike kwenye mikutano, toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? (lakini usionyeshe video) kisha mzungumze kuihusu. (th somo la 3)

  • Hotuba: (Dak. 5) w20.10 17 ¶10-11—Kichwa: Watie Moyo Wanafunzi Watafute Marafiki Kutanikoni. (th somo la 20)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 90

  • Uwe Rafiki ya Yehova—Wasaidie Wengine: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha, ikiwezekana, waulize watoto uliowachagua mapema maswali yafuatayo: Watoto wanaweza kufanya nini kuwasaidia wengine?

    Wewe ungependa kufanya nini kuwasaidia wengine?

  • “Mpango wa Kuwafariji Wale Walio Betheli”: (Dak. 10) Mazungumzo na video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) bt sura ya 2 ¶8-15

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 63 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki