Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 6
  • Novemba 27–Desemba 3

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 27–Desemba 3
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 6

Novemba 27–Desemba 3

AYUBU 20-21

  • Wimbo 38 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Uadilifu Haupimwi kwa Utajiri”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Ayu 20:2—Wazee wanaweza kuwasaidiaje wanaokabiliana na ‘mawazo yanayowafadhaisha’? (w95 1/1 9 ¶19)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Ayu 20:​1-22 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 2) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 5) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa broshua Furahia Maisha Milele! na uanzishe funzo la Biblia. (th somo la 6)

  • Hotuba: (Dak. 5) g 5/09 12-13—Kichwa: Je, Mungu Anataka Uwe Tajiri? (th somo la 17)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 136

  • “‘Ridhika na Vitu vya Sasa’”: (Dak 15) Mazungumzo na video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) bt sura ya 2 ¶16-23

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 103 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki