FEBRUARI 5-11
ZABURI 1-4
Wimbo 150 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Simama Upande wa Ufalme wa Mungu
(Dak. 10)
[Onyesha VIDEO Utangulizi wa Zaburi.]
Serikali za wanadamu zimesimama dhidi ya Ufalme wa Mungu (Zb 2:2; w21.09 15 ¶8)
Yehova anawapa watu wote fursa ya kusimama upande wa Ufalme wake (Zb 2:10-12)
JIULIZE, ‘Je, nimeazimia kutounga mkono upande wowote wa kisiasa kwa njia yoyote ile, hata ikiwa nitalazimika kupatwa na magumu?’—w16.04 29 ¶11.
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Zb 3:1–4:8 (th somo la 12)
4. Kuzungumza kwa Njia ya Kawaida—Filipo Alifanya Nini?
(Dak.7) Mazungumzo. Onyesha VIDEO, kisha mzungumzie lmd somo la 2 jambo kuu la 1-2.
5. Kuzungumza kwa Njia ya Kawaida—Mwige Filipo
(Dak. 8) Mazungumzo yanayotegemea lmd somo la 2 jambo kuu la 3-5 na “Soma Pia.”
Wimbo 32
6. Mahitaji ya Kutaniko
(Dak. 15)
7. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) bt sura ya 5 ¶9-15, sanduku uk. 41