Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Januari uku. 11
  • Februari 12-18

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 12-18
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Januari uku. 11

FEBRUARI 12-18

ZABURI 5-7

Wimbo 118 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Dumisha Ushikamanifu Licha ya Matendo ya Wengine

(Dak. 10)

Nyakati fulani Daudi alipoteza shangwe yake kwa sababu ya matendo ya wengine (Zb 6:​6, 7)

Alimwomba Yehova msaada (Zb 6:​2, 9; w21.03 15 ¶7-8)

Kumtegemea Yehova kikamili kulimsaidia kudumisha ushikamanifu (Zb 6:10)

Picha ndogo ikionyesha dada akimgombeza dada mwingine nje ya Jumba la Ufalme. Baadaye, dada aliyekuwa akimgombeza mwenzake akitoa sala nyumbani.

JIULIZE, ‘Je, ninajenga aina ya imani itakayoniwezesha kudumisha ushikamanifu kwa Yehova licha ya matendo ya wengine?’—w20.07 8-9 ¶3-4.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 5:9—Ni kwa njia gani koo la waovu ni kama kaburi lililo wazi? (it-1 995)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 7:​1-11 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. (lmd somo la 1 jambo kuu la 3)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 2) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Bila kuzungumzia kweli hususa ya Biblia, tafuta njia ya kawaida kumjulisha mtu unayezungumza naye kwamba wewe ni Shahidi wa Yehova. (lmd somo la 2 jambo kuu la 4)

6. Kufuatia Upendezi

(Dak. 2) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwenye nyumba anataka kubishana nawe. (lmd somo la 4 jambo kuu la 5)

7. Kufafanua Imani Yako

(Dak. 4) Onyesho. ijwfq 64—Kichwa: Kwa Nini Mashahidi wa Yehova Huamua Kutojihusisha Katika Sherehe za Kizalendo? (lmd somo la 3 jambo kuu la 4)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 99

8. Ripoti ya Utumishi ya Kila Mwaka

(Dak. 15) Mazungumzo. Baada ya kusoma tangazo kutoka kwenye ofisi ya tawi kuhusu ripoti ya utumishi ya kila mwaka, waalike wasikilizaji waeleze mambo mengine mazuri waliyoona kwenye chapisho 2023 Ripoti ya Mwaka wa Utumishi ya Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote. Wahoji wahubiri waliotayarishwa mapema ambao walijionea mambo yenye kutia moyo katika huduma mwaka uliopita.

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 5 ¶16-22, sanduku uk. 42

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 83 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki