MACHI 25-31
ZABURI 22
Wimbo 19 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
Wanajeshi wakipigia kura mavazi ya nje ya Yesu
1. Biblia Ilitabiri Mambo Hususa Kuhusu Kifo cha Yesu
(Dak. 10)
Ingeonekana kana kwamba Mungu amemwacha Yesu (Zb 22:1; w11 8/15 15 ¶16)
Yesu angetukanwa (Zb 22:7, 8; w11 8/15 15 ¶13)
Mavazi ya Yesu yangepigiwa kura (Zb 22:18; w11 8/15 15 ¶14; ona picha kwenye jalada)
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
Zb 22:22—Tunaweza kumwiga mtunga-zaburi katika njia gani mbili? (w06 11/1 29 ¶7; w03 9/1 20 ¶1)
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Zb 22:1-19 (th somo la 2)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. (lmd somo la 4 jambo kuu la 4)
5. Kufuatia Upendezi
(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Fuatia upendezi wa mtu unayemfahamu ambaye alikubali mwaliko wa Ukumbusho (lmd somo la 4 jambo kuu la 3)
6. Hotuba
(Dak. 5) w20.07 12-13 ¶14-17—Kichwa: Unabii wa Biblia Unatusaidiaje Kujenga Imani Yenye Nguvu? (th somo la 20)
Wimbo 95
7. Mahitaji ya Kutaniko
(Dak. 15)
8. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) bt sura ya 7 ¶14-18, masanduku uk. 57-58