Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Machi uku. 5
  • Machi 18-24

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 18-24
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Machi uku. 5

MACHI 18-24

ZABURI 19-21

Wimbo 6 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Ndugu akitazama anga lenye nyota.

1. “Mbingu Zinatangaza Utukufu wa Mungu”

(Dak. 10)

Uumbaji wa Yehova unatangaza utukufu wake (Zb 19:1; w04 1/1 8 ¶1-2)

Jua letu limeumbwa kwa njia yenye kustaajabisha (Zb 19:​4-6; w04 6/1 11 ¶8-10)

Tunaweza kujifunza mengi kutokana na uumbaji (Mt 6:28; g95 11/8 7 ¶3)



PENDEKEZO KWA AJILI YA IBADA YA FAMILIA: Chunguzeni uumbaji kisha mzungumzie mambo ambayo uumbaji huo unawafundisha kumhusu Yehova.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 19:​7-9—Yehova amefanya nini ili kuhakikisha kwamba kila kitu katika uumbaji kinafanya kazi kwa upatano? (w17.02 4 ¶5)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 19:​1-14 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YA UMMA. Mpe mwaliko wa Ukumbusho, kisha utumie jw.org kutafuta mahali ambapo tukio hilo litafanyiwa karibu naye. (lmd somo la 2 jambo kuu la 3)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mkaribishe mtu aliyehudhuria Ukumbusho baada ya kuachiwa mwaliko mlangoni. Panga kukutana naye tena ili kujibu maswali yake. (lmd somo la 3 jambo kuu la 4)

6. Kufafanua Imani Yako

(Dak. 5) Hotuba. ijwfq 45—Kichwa: Kwa Nini Mashahidi wa Yehova Wanaadhimisha Mlo wa Jioni wa Bwana kwa Njia Tofauti na Dini Nyingine? (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 141

7. Jenga Imani Yako Kupitia Uumbaji

(Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:

Mambo uliyoona kwenye video yamejengaje imani yako katika Muumba?

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 7 ¶9-13, sanduku uk. 56

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 127 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki