Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Machi uku. 4
  • Machi 11-17

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 11-17
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Machi uku. 4

MACHI 11-17

ZABURI 18

Wimbo 148 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. “Yehova Ni . . . Mwokozi Wangu”

(Dak. 10)

Yehova ni kama jabali, ngome, na ngao (Zb 18:​1, 2; w09 5/1 14 ¶4-5)

Yehova husikia kilio chetu cha kuomba msaada (Zb 18:6; it-2 1161 ¶7)

Yehova hutupatia msaada (Zb 18:​16, 17; w22.04 3 ¶1)

Picha: Daudi akiwa ameketi kando ya moto akitafakari jinsi Yehova alivyomsaidia. 1. Akipigana na dubu. 2. Akiwa kando ya simba aliyekufa. 3. Akiwa ameshika upanga huku amesimama mbele ya Goliathi aliyeanguka chini.

Yehova anaweza kuamua kuondoa tatizo kama alivyofanya pindi fulani kwa ajili ya Daudi. Hata hivyo, mara nyingi anafanya “njia ya kutokea” kwa kutuimarisha ili tuweze kuvumilia jaribu.—1Ko 10:13.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 18:10—Kwa nini mtunga-zaburi alisema Yehova alipanda juu ya kerubi? (it-1 432 ¶2)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 18:​20-39 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Fadhili—Yesu Alifanya Nini?

(Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha VIDEO, kisha mzungumzie lmd somo la 3 jambo kuu la 1-2.

5. Fadhili—Mwige Yesu

(Dak. 8) Mazungumzo yakitegemea lmd somo la 3 jambo kuu la 3-5 na “Soma Pia.”

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 60

6. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 5)

7. Video ya Machi ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo

(Dak. 10) Onyesha VIDEO.

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 7 ¶1-8, sanduku uk. 53

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 69 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki