Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Machi uku. 13
  • Aprili 22-28

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 22-28
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Machi uku. 13

APRILI 22-28

ZABURI 32-33

Wimbo 103 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Kwa Nini Tunapaswa Kuungama Dhambi Nzito?

(Dak. 10)

Daudi alitaabika sana alipojaribu kuficha dhambi nzito. Huenda alipata hali hiyo alipofanya uzinzi na Bath-sheba (Zb 32:​3, 4; w93 3/15 9 ¶7)

Daudi aliungama dhambi yake mbele za Yehova, naye Yehova akamsamehe (Zb 32:5; cl 262 ¶8)

Baada ya Yehova kumsamehe, Daudi alipata amani moyoni (Zb 32:1; w01 6/1 30 ¶1)

Picha: 1. Ndugu kijana akishika kichwa kwa huzuni. 2. Akisali. 3. Akikutana na wazee wawili. 4. Akitabasamu kwa sababu ana dhamiri safi.

Tukifanya dhambi nzito tunapaswa kuungama mbele za Yehova. Tunahitaji kujinyenyekeza na kukiri dhambi tuliyofanya na kumwomba Yehova atusamehe. Isitoshe, tunapaswa kuwafikia wazee ili watusaidie kupona kiroho. (Yak 5:​14-16) Tukifanya hivyo tutapata majira yenye kuburudisha kutoka kwa Yehova.— Mdo 3:19.

2. Hazina za Kiroho:

(Dak. 10)

  • Zb 33:6—“Roho ya” kinywa cha Yehova ni nini? (w06 5/15 20 ¶1)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 33:​1-22 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Unyenyekevu—Paulo Alifanya Nini?

(Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha VIDEO, kisha mzungumzie lmd somo la 4 jambo kuu la 1-2.

5. Unyenyekevu—Mwige Paulo

(Dak. 8) Mazungumzo yakitegemea lmd somo la 4 jambo kuu la 3-5 na “Soma Pia.”

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 74

6. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

7. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 8 ¶22-24, sanduku uk. 67

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 39 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki