Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Machi uku. 12
  • Aprili 15-21

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 15-21
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Machi uku. 12

APRILI 15-21

ZABURI 29-31

Wimbo 108 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Nidhamu Inaonyesha Kwamba Mungu Anatupenda

(Dak. 10)

Yehova aliuficha uso wake Daudi alipokosa kutii (Zb 30:7; it-1 802 ¶3)

Daudi alitubu na alimsihi Yehova amwonyeshe kibali (Zb 30:8)

Hasira ya Yehova kumwelekea Daudi ilikuwa ya muda tu (Zb 30:5; w07 3/1 19 ¶1)



Inawezekana kwamba Zaburi 30 inazungumzia hali ilivyokuwa baada ya Daudi kufanya dhambi ya kuwahesabu Waisraeli.—2Sa 24:25.

Mwanamume aliyetengwa akisali ndani ya gari lake kabla ya kuingia kwenye Jumba la Ufalme.

JAMBO LA KUTAFAKARI: Mtu aliyetengwa na ushirika anaweza kunufaikaje kutokana na nidhamu aliyopewa na kuonyesha kwamba ametubu? —w21.10 6 ¶18.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 31:23—Yehova anamlipaje vilivyo mtu anayeonyesha kiburi? (w06 5/15 19 ¶13)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 31:​1-24 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 1) MAHUBIRI YA UMMA. Zungumza kifupi na mtu mwenye shughuli nyingi. (lmd somo la 5 jambo kuu la 3)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwonyeshe mama video kwa ajili ya watoto na umweleze jinsi ya kupata video nyingine. (lmd somo la 3 jambo kuu la 3)

6. Kufuatia Upendezi

(Dak. 3) MAHUBIRI YA UMMA. Mwalike mtu ambaye alikataa kujifunza Biblia zamani aanze kujifunza. (lmd somo la 8 jambo kuu la 3)

7. Kufanya Wanafunzi

(Dak. 4) lff somo la 14 jambo kuu la 5 (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 45

8. Kwa Nini Tuna Imani . . . Katika Upendo wa Mungu

(Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:

Simulizi hili linatufundisha nini kuhusu upendo wa Yehova?

9. Ripoti ya 2024 ya Idara ya Usanifu-Majengo na Ujenzi

(Dak. 8) Hotuba. Onyesha VIDEO.

10. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 8 ¶13-21

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 99 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki