Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Mei uku. 4
  • Mei 13-19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 13-19
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Mei uku. 4

MEI 13-19

ZABURI 38-39

Wimbo 125 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Kuondoa Hisia za Kuwa na Hatia Kupita Kiasi

(Dak. 10)

Hisia za kuwa na hatia kupita kiasi ni kama mzigo wenye kulemea (Zb 38:​3-8; w20.11 27 ¶12-13)

Badala ya kukazia fikira makosa uliyofanya zamani, azimia kutumia maisha yako kumpendeza Yehova (Zb 39:​4, 5; w02 11/15 20 ¶1-2)

Sali hata ikiwa hisia za kuwa na hatia zinafanya iwe vigumu kufanya hivyo (Zb 39:12; w21.10 15 ¶4)

Picha: 1. Ndugu akipambana kubeba mzigo mzito. 2. Ndugu huyohuyo, akiwa ametua mzigo na akitazama mbele kwa uhakika.

Ikiwa unakabiliana na hisia za kuwa na hatia kupita kiasi, kumbuka kwamba Yehova huwasamehe “kwa njia kubwa” watenda dhambi wanaotubu.—Isa 55:7.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 39:1—Huenda ni wakati gani ambapo tunahitaji kutumia kanuni ya ‘kulinda kinywa chetu kwa lijamu’? (w22.09 13 ¶16)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 38:​1-22 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Busara—Paulo Alifanya Nini?

(Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha VIDEO, kisha mzungumzie lmd somo la 5 jambo kuu la 1-2.

5. Busara—Mwige Paulo

(Dak. 8) Mazungumzo yakitegemea lmd somo la 5 jambo kuu la 3-5 na “Soma Pia.”

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 44

6. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

7. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 9 ¶17-24, sanduku uk. 73

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 84 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki