Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Mei kur. 12-13
  • Juni 17-23

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 17-23
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Mei kur. 12-13

JUNI 17-23

ZABURI 51-53

Wimbo 89 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Mambo Unayoweza Kufanya Ili Kuepuka Dhambi Nzito

(Dak. 10)

Usijiamini kupita kiasi—wanadamu wote wana mwelekeo wa kutenda dhambi (Zb 51:5; 2Ko 11:3)

Dumisha ratiba nzuri ya kiroho (Zb 51:6; w19.01 15 ¶4-5)

Pambana uepuke mawazo na tamaa chafu (Zb 51:​10-12; w15 6/15 14 ¶5-6)

Picha: Ndugu kijana akidumisha ratiba nzuri ya kiroho. 1. Akisoma Biblia. 2. Akisali kwa bidii. 3. Akitoa maelezo mkutanoni. 4. Akishiriki katika utumishi wa kigari.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 52:​2-4—Mistari hii inatuambia nini kuhusu matendo ya Doegi? (it-1 644)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 51:​1-19 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 2) MAHUBIRI YA UMMA. (lmd somo la 7 jambo kuu la 3)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 2) NYUMBA KWA NYUMBA. (lmd somo la 4 jambo kuu la 4)

6. Kufuatia Upendezi

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mfundishe jina la Mungu. (lmd somo la 9 jambo kuu la 5)

7. Kufanya Wanafunzi

(Dak. 4) lff somo la 14 jambo kuu la 7 na Watu Fulani Husema (lmd somo la 11 jambo kuu la 5)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 115

8. Mambo ya Kufanya Ili Kurekebisha Makosa Yako

(Dak. 15) Mazungumzo.

Picha: Picha kutoka kwenye video yenye kichwa “Maisha Yangu ya Utineja—Ninaweza Kurekebishaje Makosa Yangu?” 1. Thalila. 2. José.

Licha ya jitihada nyingi, sisi sote hufanya makosa. (1Yo 1:8) Tunapokosea hatupaswi kuruhusu aibu au woga wa kuadhibiwa utuzuie kumwomba Yehova msamaha na msaada. (1Yo 1:9) Jambo la kwanza tunalopaswa kufanya ili kurekebisha kosa ni kusali kwa Yehova.

Soma Zaburi 51:​1, 2, 17. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Maneno ya Daudi yanaweza kutuchocheaje kutafuta msaada wa Yehova tunapotenda dhambi nzito?

Onyesha VIDEO Maisha Yangu ya Utineja—Ninaweza Kurekebishaje Makosa Yangu? Kisha waulize wasikilizaji:

  • Ni mambo gani ambayo yaliwaongoza Thalila na José kufanya makosa?

  • Walichukua hatua zipi ili kurekebisha makosa yao?

  • Walinufaikaje walipofanya hivyo?

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 11 ¶5-10, sanduku uk. 89

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 129 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki