Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Mei kur. 14-15
  • Juni 24-30

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 24-30
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Mei kur. 14-15

JUNI 24-30

ZABURI 54-56

Wimbo 48 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Mungu Yuko Upande Wako

(Dak. 10)

Unapokuwa na hofu mtegemee Yehova kama Daudi alivyofanya (Zb 56:​1-4; w06 8/1 22 ¶10-11)

Yehova anauthamini uvumilivu wako naye atakusaidia (Zb 56:8; cl 243 ¶9)

Yehova yuko upande wako. Hataruhusu chochote kikuletee madhara ya kudumu (Zb 56:​9-13; Ro 8:​36-39; w22.06 18 ¶16-17)

Dada mwenye huzuni akisali kwa bidii.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 55:​12, 13—Je, Yehova alipanga mapema kwamba Yuda atamsaliti Yesu? (it-1 857-858)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 55:​1-23 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YA UMMA. Mweleze kuhusu programu yetu ya kujifunza Biblia, na umpe kadi ya mawasiliano ya kujifunza Biblia. (th somo la 11)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. (lmd somo la 7 jambo kuu la 4)

6. Hotuba

(Dak. 5) w23.01 29-30 ¶12-14—Kichwa: Kumpenda Kristo Hutuchochea Kuwa na Ujasiri. Ona picha. (th somo la 9)

Dada akimtazama msichana aliye ndani ya basi anayeonekana kuwa na huzuni. Dada huyo ameshika trakti yenye kichwa “Tutapata Wapi Majibu ya Maswali Muhimu Maishani?”

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 153

7. Tunaweza Kuwa na Shangwe Licha ya . . . Upanga

(Dak. 5) Mazungumzo.

Picha kutoka kwenye video yenye kichwa “Tunaweza Kuwa na Shangwe Licha ya . . . Upanga.” Ndugu Dugbe akitafakari mambo aliyojionea.

Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Umejifunza nini kutokana na simulizi la Ndugu Dugbe kinachoweza kukusaidia unapokuwa na hofu?

8. Video ya Juni ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo

(Dak. 10) Onyesha VIDEO.

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 11 ¶11-19

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 70 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki