Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Julai uku. 2
  • Julai 1-7

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 1-7
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Julai uku. 2

JULAI 1-7

ZABURI 57-59

Wimbo 148 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mfalme Sauli, akiwa katikati ya askari wake, akitazama juu na kuzungumza huku akiwa ameshika koti lake lisilo na mikono lililokatwa.

Mfalme Sauli na wanaume wake baada ya kushindwa kumkamata Daudi

1. Yehova Huwakatisha Tamaa Wanaowapinga Watu Wake

(Dak. 10)

Daudi alilazimika kujificha asikamatwe na Mfalme Sauli (1Sa 24:3; Zb 57, utangulizi)

Yehova alivuruga jitihada za wapinzani wa Daudi (1Sa 24:​7-10, 17-22; Zb 57:3)

Mara nyingi wapinzani hujiumiza wenyewe (Zb 57:6; bt 220-221 ¶14-15)

Kikundi cha ndugu na dada waliopelekwa uhamishoni Siberia.

JIULIZE, ‘Ninaweza kuonyeshaje kwamba ninamtegemea Yehova ninapokabili upinzani?’—Zb 57:2.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 57:7—Inamaanisha nini kuwa na moyo imara? (w23.07 18-19 ¶16-17)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 59:​1-17 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Uvumilivu—Paulo Alifanya Nini?

(Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha VIDEO, kisha mzungumzie lmd somo la 7 jambo kuu la 1-2.

5. Uvumilivu—Mwige Paulo

(Dak. 8) Mazungumzo yanayotegemea lmd somo la 7 jambo kuu la 3-5 na “Soma Pia.”

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 65

6. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

7. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 12 ¶1-6, sanduku uk. 96

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 78 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki