Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Julai uku. 3
  • Julai 8-14

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 8-14
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Julai uku. 3

JULAI 8-14

ZABURI 60-62

Wimbo 2 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Picha: 1. Mwanamume anakimbia kuingia ndani ya ngome. 2. Mwanamume anatabasamu akielekeza mkono kwenye hema lake ambapo watu wanakula mlo. 3. Mwamba mkubwa.

1. Yehova Anatulinda na Kutuimarisha

(Dak. 10)

Yehova ni kama mnara ulio imara (Zb 61:3; it-2 1118 ¶7)

Yehova anaturuhusu tuwe wageni katika hema lake (Zb 61:4; it-2 1084 ¶8)

Yehova ni kama mwamba (Zb 62:2; w02 4/15 16 ¶14)


JIULIZE, ‘Maisha yangu yameboreshwa katika njia gani kwa sababu ya kumjua Yehova na kumtegemea?’

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 62:11—“Nguvu ni za Mungu” katika maana gani? (w06 6/1 11 ¶6)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 60:1–61:8 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Anzisha mazungumzo baada ya mtu kukuonyesha fadhili. (lmd somo la 2 jambo kuu la 3)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Mweleze mtu huyo kuhusu programu ya JW Library® na umwonyeshe jinsi ya kuisakinisha. (lmd somo la 7 jambo kuu la 4)

6. Hotuba

(Dak. 5) w22.02 4-5 ¶7-10—Kichwa: Mtumaini Yehova Unapopokea Mwongozo. (th somo la 20)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 12

7. Hakuna Kitu Kinachoweza “Kututenga na Upendo wa Mungu”

(Dak. 10) Mazungumzo.

Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Ni katika njia zipi hususa Yehova alimtunza Ndugu Nyirenda wakati wa mateso?

8. Uwe Rafiki ya Yehova—Hatua za Kustahili Kubatizwa

(Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha VIDEO. Kisha, ikiwezekana, waalike watoto uliowachagua mapema jukwaani na kuwauliza: Ili ustahili kubatizwa, ni nini muhimu zaidi kuliko umri wako? Ni hatua zipi unazohitaji kuchukua ili ustahili kubatizwa?

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 12 ¶7-13, sanduku uk. 97

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 63 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki