Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Julai uku. 13
  • Agosti 19-25

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 19-25
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Julai uku. 13

AGOSTI 19-25

ZABURI 75-77

Wimbo 120 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Usijigambe—Kwa Nini?

(Dak. 10)

Watu wanaojigamba wanamchukiza Mungu (Zb 75:4; 1Ti 3:6; w18.01 28 ¶4-5)

Pendeleo au mgawo wowote tunaopata kutanikoni ni wonyesho wa fadhili zisizostahiliwa kutoka kwa Yehova (Zb 75:​5-7; w06 7/15 11 ¶2)

Watu wenye kiburi, kama vile viongozi wa dunia wenye majivuno, watanyenyekezwa na Yehova (Zb 76:12)

Picha: 1. Ndugu akitoa hotuba kusanyikoni. 2. Baadaye ndugu huyo anasifiwa na kuelekezewa fikira na wengine, lakini kwa unyenyekevu anakataa kupokea sifa.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 76:10—“Ghadhabu ya mwanadamu” inawezaje kumletea Yehova sifa? (w06 7/15 11 ¶3)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 75:1–76:12 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Tumia video kutoka kwenye jw.org katika lugha ambayo mtu huyo anapenda. (lmd somo la 1 jambo kuu la 4)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Uwe mwenye kubadilikana na ubadili maelezo yako mwenye nyumba anapokuambia yeye hamwamini Mungu. (lmd somo la 2 jambo kuu la 5)

6. Kufanya Wanafunzi

(Dak. 5) lff somo la 15 jambo kuu la 4 (lmd somo la 11 jambo kuu la 3)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 127

7. Uwe Mshikamanifu Unaposifiwa

(Dak. 7) Mazungumzo.

Onyesha VIDEO Uwe Mshikamanifu Kama Yesu—Unaposifiwa. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Ni masomo gani ambayo umejifunza kutokana na jinsi Sergei alivyojibu kwa unyenyekevu aliposifiwa?

8. Kampeni ya Pekee ya Kuanzisha Mafunzo ya Biblia Mwezi wa Septemba kwa Kutumia Furahia Maisha Milele!

(Dak. 8) Hotuba itolewe na mwangalizi wa utumishi. Wachochee wote kwa ajili ya kampeni na utaje mipango ya kutaniko lenu.

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 14 ¶7-10, sanduku uk. 110

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 95 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki