Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Julai uku. 12
  • Agosti 12-18

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 12-18
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Julai uku. 12

AGOSTI 12-18

ZABURI 73-74

Wimbo 36 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Vipi Ikiwa Tunawaonea Wivu Watu Ambao Hawamtumikii Mungu?

(Dak. 10)

Tunaweza kuanza kuwaonea wivu watu ambao hawamtumikii Mungu (Zb 73:3-5; w20.12 19 ¶14)

Tunaweza kupata tena mtazamo unaofaa tunapojiunga na ndugu zetu katika ibada, badala ya kujitenga (Zb 73:17; Met 18:1; w20.12 19 ¶15-16)

Wale ambao hawamtumikii Mungu wamesimama “kwenye ardhi yenye utelezi”; wanaomtumikia Mungu wataongozwa “kwenye utukufu” (Zb 73:18, 19, 24; w14 4/15 4 ¶5; w13 2/15 25-26 ¶3-5)

Tineja Shahidi akiwatazama kwa wivu wanafunzi wenzake wanapotuma ujumbe huku wakitazama simu kwa msisimuko.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 74:13, 14—Inaonekana “Lewiathani” anarejelea nini? (it-2 240)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 74:1-23 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Tafuta nafasi ya kumweleza mtu mnayefahamiana jambo ambalo ulijifunza kwenye mkutano hivi karibuni. (lmd somo la 2 jambo la 4)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) MAHUBIRI YA UMMA. Mwalike ajifunze Biblia na umwonyeshe jinsi funzo linavyoongozwa. (lmd somo la 8 jambo kuu la 3)

6. Kufafanua imani Yako

(Dak. 5) Hotuba. ijwbq 89—Kichwa: Je, Dini Zote Ni Nzuri? (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 72

7. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 14 ¶1-6, sanduku uk. 112

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 98 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki