Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Septemba kur. 6-7
  • Septemba 23-29

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 23-29
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Septemba kur. 6-7

SEPTEMBA 23-29

ZABURI 88-89

Wimbo 22 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Utawala wa Yehova Ndio Bora

(Dak. 10)

Utawala wa Yehova unatokeza haki ya kweli (Zb 89:14; w17.06 28 ¶5)

Utawala wa Yehova unaendeleza shangwe ya kweli (Zb 89:​15, 16; w17.06 29 ¶10-11)

Utawala wa Yehova utadumu milele (Zb 89:​34-37; w14 10/15 10 ¶14)

Picha: Ndugu akitafakari njia ya Yehova ya kutawala tofauti na ya ulimwengu. 1. Watu wakibishana katika mkutano wa kisiasa. 2. Ndugu wakisalimiana kwa uchangamfu kwenye mkutano wa kutaniko.

Kutafakari ubora wa njia ya Yehova ya kutawala kutatusaidia tusiunge mkono upande wowote tunaposikia propaganda za kisiasa

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 89:37—Kuna tofauti gani kati ya uaminifu na ushikamanifu? (cl 281 ¶4-5)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 89:​1-24 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YA UMMA. Anzisha funzo la Biblia na mtu ambaye ni wa dini ambayo si ya Kikristo. (lmd somo la 5 jambo kuu la 5)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwombe umwonyeshe jinsi funzo la Biblia linavyoongozwa. (th somo la 9)

6. Kufafanua Imani Yako

(Dak. 5) Hotuba. ijwbq 181—Kichwa: Biblia Inazungumzia Nini? (th somo la 2)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 94

7. Viwango vya Yehova Ndivyo Bora

(Dak. 10) Mazungumzo.

Watu wengi wanaona kwamba viwango vya Biblia kuhusu ngono na ndoa havipatani na akili na vimepitwa na wakati. Je, umejisadikishia kwamba sikuzote kufuata viwango vya Yehova ni kwa faida yako?—Isa 48:​17, 18; Ro 12:2.

    Picha kutoka kwenye video “Sababu za Kuwa na Imani​—⁠​Viwango vya Mungu Dhidi ya Viwango Vyangu.” Hugo na Clara.
  • Kwa nini hatupaswi kutumaini viwango vya maadili vya ulimwengu huu? (Yer 10:23; 17:9; 2Ko 11:​13-15; Efe 4:​18, 19)

  • Picha: Michoro kutoka kwenye video “Sababu za Kuwa na Imani​—⁠​Viwango vya Mungu Dhidi ya Viwango Vyangu.” 1. Tablet inayoonyesha nembo ya jw.org. 2. Hugo akisoma Biblia kwenye simu yake akiwa ndani ya usafiri wa umma. 3. Clara akisali.
  • Kwa nini tunapaswa kutumaini viwango vya maadili vya Yehova? (Yoh 3:16; Ro 11:33; Tit 1:2)

Biblia inafundisha kwamba wanaopuuza sheria za Mungu za maadili “hawataurithi Ufalme wa Mungu.” (1Ko 6:​9, 10) Lakini je, hiyo ndiyo sababu pekee ya kufuata viwango vya Mungu?

Onyesha VIDEO Sababu za Kuwa na Imani—Viwango vya Mungu Dhidi ya Viwango Vyangu. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Viwango vya Mungu vya maadili vinatulindaje?

8. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 5)

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 15 ¶15-20

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 133 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki