Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Septemba kur. 8-9
  • Septemba 30–Oktoba 6

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 30–Oktoba 6
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Septemba kur. 8-9

SEPTEMBA 30–OKTOBA 6

ZABURI 90-91

Wimbo 140 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Ili Uishi Maisha Marefu, Mtumaini Yehova

(Dak. 10)

Tukiwa wanadamu, hatuna uwezo wa kurefusha maisha yetu (Zb 90:10; wp19.3 5 ¶3-5)

Yehova ni wa “tangu milele hadi milele” (Zb 90:2; wp19.1 5, sanduku)

Anaweza na atawapa uzima wa milele wote wanaomtumaini (Zb 21:4; 91:16)

Daktari akimpa ndugu karatasi na kalamu akiwa ameketi kitandani usiku.

Usiharibu uhusiano wako na Yehova kwa kukubali matibabu yanayopingana na viwango vyake.—w22.06 18 ¶16-17.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 91:11—Tunapaswa kuwa na maoni gani yenye usawaziko kuhusu msaada tunaoweza kupewa na malaika? (wp17.5 5)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 91:​1-16 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Bila kuzungumzia Biblia, mtie moyo akueleze mambo yanayomhangaisha ili ufahamu jinsi Biblia inavyoweza kuboresha maisha yake. (lmd somo la 1 jambo kuu la 3)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. (lmd somo la 1 jambo kuu la 4)

6. Hotuba

(Dak. 5) lmd nyongeza A jambo kuu la 5—Kichwa: Unaweza Kuishi Milele Duniani. (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 158

7. Thamini Utajiri wa Subira ya Mungu—Maoni ya Yehova Kuhusu Wakati

(Dak. 5) Mazungumzo.

Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Kutafakari maoni ya Yehova kuhusu wakati kunaweza kutusaidiaje kungojea kwa subira kutimizwa kwa ahadi zake?

Wapanda mlima wakiwa juu ya mlima wakitazama anga lililojaa nyota.

8. Video ya Septemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo

(Dak. 10) Onyesha VIDEO.

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 16 ¶1-5, sanduku uk. 128

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 68 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki