Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Septemba uku. 12
  • Oktoba 14-20

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 14-20
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Septemba uku. 12

OKTOBA 14-20

ZABURI 96-99

Wimbo 66 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. “Tangazeni Habari Njema”!

(Dak. 10)

Waeleze wengine kuhusu habari njema (Zb 96:2; w11 3/1 6 ¶1-2)

Wafundishe habari njema kuhusu Siku ya Hukumu (Zb 96:​12, 13; w12 9/1 16 ¶1)

Wafundishe kwamba kusudi la Yehova ni kuijaza dunia watu watakaolisifu jina lake (Zb 99:​1-3; w12 9/15 12 ¶18-19)

Ndugu mwenye umri mkubwa akizungumza na mwanamume mwingine wakiwa wameketi kwenye benchi bustanini.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 96:1—Katika visa vingi, maneno “wimbo mpya” yanarejelea nini? (it-2 994)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 98:1–99:9 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Azimia Kuwafanya Watu Wawe Wanafunzi—Yesu Alifanya Nini?

(Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha VIDEO, kisha mzungumzie lmd somo la 10 jambo kuu la 1-2.

5. Azimia Kuwafanya Watu Wawe Wanafunzi—Mwige Yesu

(Dak. 8) Mazungumzo yanayotegemea lmd somo la 10 jambo kuu la 3-5 na “Soma Pia.”

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 9

6. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

7. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 16 ¶10-18

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 67 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki