Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Septemba uku. 13
  • Oktoba 21-27

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 21-27
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Septemba uku. 13

OKTOBA 21-27

ZABURI 100-102

Wimbo 37 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Onyesha Shukrani kwa Upendo Mshikamanifu wa Yehova

(Dak. 10)

Sitawisha upendo wenye nguvu kumwelekea Yehova (Zb 100:5; w23.03 12 ¶18-19)

Epuka mambo yanayoweza kuharibu urafiki wako na Yehova (Zb 101:​2, 3; w23.02 17 ¶10)

Waepuke wale wanaoeneza uwongo dhidi ya Yehova na tengenezo lake (Zb 101:5; w11 7/15 16 ¶7-8)

Ndugu akitazama simu yake. Amezungukwa na mambo mengi yaliyo kwenye mitandao ya kijamii kutia ndani mazungumzo, ripoti ya habari, picha, jumbe, na alama na emoji mbalimbali.

JIULIZE, ‘Je, mambo ninayofanya kwenye mitandao ya kijamii yanaweza kuharibu uhusiano wangu na Yehova?’

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 102:6—Kwa nini mtunga-zaburi anajilinganisha na ndege aina ya mwari? (it-2 596)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 102:​1-28 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. (lmd somo la 2 jambo kuu la 3)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 5) NYUMBA KWA NYUMBA. Anzisha funzo la Biblia. (lmd somo la 9 jambo kuu la 4)

6. Kufafanua Imani Yako

(Dak. 4) Onyesho. ijwbq 129—Kichwa: Je, Biblia Imebadilishwa au Kupotoshwa? (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 137

7. ‘Ninashikamana Nawe; Nawe Hunishika kwa Nguvu’

(Dak. 15)

Mazungumzo. Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Ana alionyeshaje upendo mshikamanifu?

  • Tunaweza kuigaje mfano wake?

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 17 ¶1-7

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 96 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki