Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Novemba kur. 14-16
  • Desemba 30, 2024–Januari 5, 2025

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 30, 2024–Januari 5, 2025
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Novemba kur. 14-16

DESEMBA 30, 2024–JANUARI 5, 2025

ZABURI 120-126

Wimbo 144 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Waisraeli wakikusanya mavuno ya ngano kwa shangwe.

Waisraeli waliorudi wakivuna kwa shangwe kwa sababu Yehova amebariki kazi yao ngumu

1. Walipanda kwa Machozi, Wakavuna kwa Shangwe

(Dak. 10)

Waisraeli walifurahi walipowekwa huru kutoka Babiloni ili wakarudishe ibada safi (Zb 126:​1-3)

Huenda wale waliorudi Yudea walilia kwa sababu ya kazi ngumu waliyohitaji kufanya (Zb 126:5; w04 6/1 16 ¶10)

Waliendelea kufanya kazi na wakabarikiwa (Zb 126:6; w21.11 24 ¶17; w01 7/15 18-19 ¶13-14; ona picha kwenye jalada)

Waisraeli wakilima kwa bidii. Mwanamume mmoja anapanda mbegu huku mwingine akilima kwa plau.

JAMBO LA KUTAFAKARI: Baada ya kuokolewa wakati wa Har–​Magedoni, tutakabili changamoto zipi kazi kubwa ya kujenga upya itakapokuwa ikiendelea? Tutapata baraka zipi?

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 124:​2-5—Je, tunaweza kutarajia kwamba Yehova atatulinda kimwili kama alivyowalinda Waisraeli? (cl 73 ¶15)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 124:1–126:6 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YA UMMA. (lmd somo la 3 jambo kuu la 5)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Katika ziara iliyotangulia, mwenye nyumba alikuwa na mashaka kuhusu Biblia. (lmd somo la 9 jambo kuu la 5)

6. Kufanya Wanafunzi

(Dak. 5) lff somo la 16 utangulizi na jambo kuu la 1-3 (lmd somo la 11 jambo kuu la 3)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 155

7. Shangilia Katika Ahadi za Mungu

(Dak. 15) Mazungumzo.

Yehova alitimiza ahadi alizokuwa amewapa watu wake waliokuwa uhamishoni Babiloni. Aliwakomboa na kuwaponya kiroho. (Isa 33:24) Ni wazi kwamba aliwalinda pamoja na mifugo yao kutokana na simba na wanyama wengine wakali waliokuwa wameongezeka wakati ambapo watu walikuwa wamepelekwa uhamishoni. (Isa 65:25) Sasa wangeweza kuishi katika nyumba zao wenyewe na kula matunda ya mashamba yao wenyewe ya mizabibu. (Isa 65:21) Mungu alibariki kazi yao, nao walifurahia kuishi maisha marefu.—Isa 65:​22, 23.

Picha kutoka kwenye video “Shangilia Katika Ahadi za Mungu za Amani​—⁠Kisehemu.” Picha: 1. Ndugu na dada wakifurahia mlo nje pamoja. 2. Picha iliyopigwa kutoka juu ya milima na misitu. 3. Nabii Danieli aliyefufuliwa akitembea kwenye msitu. 4. Wenzi wa ndoa wakimkumbatia binti yao mdogo. 5. Sinia ya matunda na mboga. 6. Maporomoko ya maji.

Waterfall: Maridav/stock.adobe.com; mountains: AndreyArmyagov/stock.adobe.com

Onyesha VIDEO Shangilia Katika Ahadi za Mungu za Amani—Kisehemu. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Tunajionea unabii huu mbalimbali ukitimia kiroho katika njia zipi?

  • Unabii huo utatimizwaje kwa njia kubwa zaidi katika ulimwengu mpya?

  • Wewe unatarajia kwa hamu kuona unabii upi ukitimizwa?

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 20 ¶8-12, sanduku katika uk. 161

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 58 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki