Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w20 Januari uku. 32
  • Habari Zilizoteuliwa Kwenye Jw.Org

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Zilizoteuliwa Kwenye Jw.Org
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2020
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2020
w20 Januari uku. 32

Habari Zilizoteuliwa Kwenye Jw.Org

BIBLIA INABADILI MAISHA

Maisha Yangu Yalikuwa Yamepoteza Mwelekeo

Solomone alihamia Marekani, akitazamia kuwa na maisha mazuri zaidi. Kinyume cha matarajio yake, alianza kutumia dawa za kulevya na mwishowe akajikuta gerezani. Ni nini kilichomsaidia kubadili maisha yake?

Kwenye jw.org/sw, tafuta kwenye KUTUHUSU > MASIMULIZI > BIBLIA INABADILI MAISHA.

VIJANA HUULIZA

Nifanye Nini Ikiwa Inaonekana Wengine Hawanipendi?

Je, ni bora kukubalika na watu ambao hawana viwango, au kudumisha utu wako mwenyewe?

Kwenye jw.org/sw, tafuta kwenye MAFUNDISHO YA BIBLIA > MATINEJA > VIJANA HUULIZA.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki