Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w20 Februari kur. 1-32
  • Toleo la Funzo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Toleo la Funzo
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2020
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2020
w20 Februari kur. 1-32
Toleo la Funzo la Mnara wa Mlinzi, Februari 2020.

Toleo la Funzo

FEBRUARI 2020

MAKALA ZA FUNZO: APRILI 6–MEI 3, 2020

© 2019 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania

Gazeti hili haliuzwi. Ni sehemu ya kazi ya elimu ya Biblia ya ulimwenguni pote inayotegemezwa kwa michango ya hiari. Ikiwa ungependa kutoa mchango, tafadhali tembelea donate.jw.org.

Isipokuwa iwe imeonyeshwa vingine, Maandiko yamenukuliwa kutoka katika Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya.

PICHA KWENYE JALADA:

Mwisraeli mwenye umri mdogo anakimbia kwa Musa na Yoshua ili kuwajulisha kwamba wanaume wawili kambini wanatenda kama manabii. Yoshua anamwambia Musa awakataze wanaume hao, lakini Musa anakataa kufanya hivyo. Badala yake, anamwambia Yoshua kwamba anafurahi kuwa Yehova amewapa wanaume hao wawili roho Yake (Tazama makala ya 8, fungu la 10)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki