Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb25 Januari uku. 4
  • Januari 13-19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 13-19
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
mwb25 Januari uku. 4

JANUARI 13-19

ZABURI 135-137

Wimbo 2 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Musa akiwa amenyoosha mikono yake akigawa Bahari Nyekundu. Waisraeli wakiwa na kundi kubwa lenye mchanganyiko wa watu wasio Waisraeli wote wakitazama kwa mshangao.

1. “Bwana Wetu Ni Mkuu Kuliko Miungu Mingine Yote”

(Dak. 10)

Yehova ameonyesha mamlaka juu ya uumbaji wake wote (Zb 135:​5, 6; w15 6/15 6 ¶15)

Yeye huwatetea watu wake (Kut 14:​29-31; Zb 135:14)

Anatutegemeza tunapojihisi wanyonge (Zb 136:23; w21.11 6 ¶16)

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 135:​1, 5—Kwa nini neno “Yah” linatumiwa katika Biblia? (ip-1 169 ¶25)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 135:​1-21 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mpe namba yako mtu aliyependezwa na umwombe yake. (lmd somo la 2 jambo kuu la 4)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwalike mwenye nyumba kwenye mkutano. (lmd somo la 9 jambo kuu la 4)

6. Kufafanua Imani Yako

(Dak. 5) Onyesho. ijwfq makala ya 7—Kichwa: Je, Mashahidi wa Yehova Ni Wakristo? (th somo la 12)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 10

7. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 21 ¶1-7, sanduku uk. 166

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 90 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki