Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb25 Januari kur. 10-11
  • Februari 10-16

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 10-16
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
mwb25 Januari kur. 10-11

FEBRUARI 10-16

ZABURI 147-150

Wimbo 12 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mtunga-zaburi akitazama anga lenye nyota na kumsifu Yehova. Hekalu la Yerusalemu lipo karibu.

1. Tuna Sababu Nyingi za Kumsifu Yah

(Dak. 10)

Anatujali sisi mmojammoja (Zb 147:​3, 4; w17.07 18 ¶5-6)

Anaelewa udhaifu wetu naye hutumia nguvu zake kutusaidia (Zb 147:5; w17.07 18 ¶7)

Anatupatia pendeleo la kuwa miongoni mwa watu wake (Zb 147:​19, 20; w17.07 21 ¶18)


JIULIZE, ‘Ni nini kingine kinachonichochea kumsifu Yehova?’

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 148:​1, 10—“Ndege wenye mabawa” humsifu Yehova katika njia gani? (it-1 316)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 148:1–149:9 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. Mtu huyo anakueleza kwamba anakabiliana na ugonjwa wa kudumu. (lmd somo la 2 jambo kuu la 5)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Tafuta nafasi ya kumweleza mtu jambo ambalo ulijifunza kwenye mikutano hivi karibuni. (lmd somo la 4 jambo kuu la 3)

6. Hotuba

(Dak. 5) w19.03 10 ¶7-11—Kichwa: Msikilize Yesu—Hubiri Habari Njema. Ona picha. (th somo la 14)

Wenzi wa ndoa wakimhubiria mwanamume kwenye ufuo wa bahari.

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 159

7. Ripoti ya Utumishi ya Kila Mwaka

(Dak. 15) Mazungumzo.

Baada ya kusoma tangazo kutoka kwenye ofisi ya tawi kuhusu ripoti ya utumishi ya kila mwaka, waalike wasikilizaji waeleze mambo mengine mazuri waliyoona kwenye chapisho 2024 Ripoti ya Mwaka wa Utumishi ya Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote. Wahoji wahubiri waliotayarishwa mapema ambao walijionea mambo yenye kutia moyo katika huduma mwaka uliopita.

Ndugu na dada wakihubiri katika sehemu mbalimbali za dunia. Wanashiriki habari njema kwenye vigari vya machapisho, kupitia video, nyumba kwa nyumba, na katika njia nyingine.

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 22 ¶7-14, sanduku uk. 174, 177

Umalizio(Dak. 3) | Wimbo 37 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki