Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb25 Mei
  • Juni 23-29

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 23-29
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
mwb25 Mei

JUNI 23-29

METHALI 19

Wimbo 154 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Uwe Rafiki wa Kweli kwa Ndugu na Dada Zako

(Dak. 10)

Usikazie hali yao ya kutokamilika (Met 19:11; w23.11 12-13 ¶16-17)

Wategemeze wanapokuwa na uhitaji (Met 19:17; w23.07 9-10 ¶10-11)

Waonyeshe upendo mshikamanifu (Met 19:22; w21.11 9 ¶6-7)

Picha inawaonyesha ndugu na dada wakitabasamu.

MFANO: Kumbukumbu ni kama picha. Kumbuka mambo mazuri tu kuwahusu ndugu na dada zako.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Met 19:21—Tunapaswa kuzingatia nini sikuzote tunapotoa shauri? (it-1 515)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Met 19:​1-20 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Bila kuzungumzia kweli hususa ya Biblia, tafuta njia ya kawaida kumjulisha mtu unayezungumza naye kwamba wewe ni Shahidi wa Yehova. (lmd somo la 2 jambo kuu la 4)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Katika mazungumzo yenu yaliyopita, mtu huyo alikueleza kwamba anapenda uumbaji. (lmd somo la 9 jambo kuu la 4)

6. Hotuba

(Dak. 5) lmd nyongeza A jambo kuu la 10—Kichwa: Mungu ana Jina. (th somo la 20)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 40

7. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 28 ¶1-7

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 61 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki