AGOSTI 25-31
METHALI 28
Wimbo 150 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Tofauti Kati ya Mtu Mwovu na Mtu Mwadilifu
(Dak. 10)
Mtu mwovu ni mwoga; mtu mwadilifu ni jasiri (Met 28:1; w93 5/15 26 ¶2)
Mtu mwovu hawezi kutenda kwa njia ya haki; mtu mwadilifu ana uwezo wa kufanya maamuzi mazuri (Met 28:5; it-2 1139 ¶3)
Mtu mwadilifu ambaye ni maskini ana thamani kuliko mtu mwovu ambaye ni tajiri (Met 28:6; it-1 1211 ¶4)
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
Met 28:14—Methali hii inatupatia onyo gani? (w01 12/1 11 ¶3)
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Met 28:1-17 (th somo la 10)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. Zungumza kuhusu mwisho wa vita na ukatili. (lmd somo la 5 jambo kuu la 5)
5. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. Zungumza kuhusu mwisho wa vita na ukatili. (lmd somo la 5 jambo kuu la 4)
6. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 2) MAHUBIRI YA UMMA. Zungumza kuhusu mwisho wa vita na ukatili. (lmd somo la 1 jambo kuu la 4)
7. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Zungumza kuhusu mwisho wa vita na ukatili. (lmd somo la 2 jambo kuu la 4)
Wimbo 112
8. Je, Unachukia Ukatili?
(Dak. 6) Mazungumzo.
Shetani Ibilisi, ambaye Yesu anamwita “muuaji” ndiye chanzo cha ukatili. (Yoh 8:44) Baada ya malaika kuungana na Shetani katika uasi wake, ukatili uliongezeka sana hivi kwamba dunia ilikuwa imeharibika machoni pa Mungu. (Mwa 6:11) Tunapokaribia mwisho wa ulimwengu wa Shetani wenye ukatili, watu wengi ni wakali na wasiojizuia.—2Ti 3:1, 3.
Soma Zaburi 11:5. Kisha waulize wasikilizaji:
Yehova anahisije kuhusu wale wanaopenda ukatili, na kwa nini?
Michezo na burudani ambazo watu wengi hutazama leo zinaonyeshaje kwamba wanavutiwa na ukatili?
Soma Methali 22:24, 25. Kisha waulize wasikilizaji:
Ni katika njia gani burudani tunazochagua na watu tunaoshirikiana nao wanaweza kuathiri mtazamo wetu kuelekea ukatili?
Burudani ambayo tunachagua inaonyeshaje ikiwa tunapenda au kuchukia ukatili?
9. Kampeni ya Pekee Mwezi wa Septemba
(Dak. 9)
Hotuba itolewe na mwangalizi wa utumishi. Wachochee wote kwa ajili ya kampeni na utaje mipango ya kutaniko lenu.
Onyesha VIDEO Amani Milele! (Wimbo wa Kusanyiko la Eneo la 2022).
10. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) lfb somo la 12-13