Habari Zilizoteuliwa Kwenye JW.ORG
HIFADHI YETU YA VITU VYA KALE
Lightbearer Yapeleka Nuru ya Kiroho Kusini Mashariki mwa Bara la Asia
Licha ya upinzani, kikundi kidogo cha wasafiri wa Lightbearer kilisambaza kwa ujasiri nuru ya kweli za Biblia katika eneo kubwa na lenye watu wengi.
Kwenye jw.org, tafuta kwenye MAKTABA > MFULULIZO WA MAKALA > HIFADHI YETU YA VITU VYA KALE.
JE, NI KAZI YA UBUNI?
Ni nini kinachotokeza uwezo wa kubadilika wa ngozi ya kiumbe huyu wa baharini?
Kwenye jw.org, tafuta kwenye MAKTABA > MFULULIZO WA MAKALA > JE, NI KAZI YA UBUNI?