Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w25 Februari uku. 32
  • Kuonyesha Ujasiri Chini ya Mkazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kuonyesha Ujasiri Chini ya Mkazo
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2025
  • Habari Zinazolingana
  • Mthawabishaji wa Wote Wanaomtumikia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • “Siwezi Kunyamaza Kimya”
    Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia
  • Utachagua Marafiki wa Aina Gani?
    Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia
  • “Nitaishibisha Nafsi Iliyochoka”
    Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2025
w25 Februari uku. 32

MRADI WA KUJIFUNZA

Kuonyesha Ujasiri Chini ya Mkazo

Soma Yeremia 38:​1-13 ili ujifunze kuhusu ujasiri ulioonyeshwa na nabii Yeremia na towashi Ebed-meleki.

Chunguza muktadha. Yeremia alionyeshaje ujasiri alipokuwa akitangaza ujumbe wa Yehova? (Yer. 27:​12-14; 28:​15-17; 37:​6-10) Watu waliitikiaje?—Yer. 37:​15, 16.

Chimba zaidi. Yeremia alikabili mkazo gani? (jr 26-27 ¶20-22) Chunguza mambo unayoweza kujifunza kutokana na matangi ya kale. (it-1 471) Huenda Yeremia alipata hisia gani alipokuwa kwenye tangi lenye matope? Ni woga gani ambao huenda Ebed-meleki alihitaji kushinda?—w12 5/1 31 ¶2-3.

Nimejifunza nini? Jiulize hivi:

  • ‘Simulizi hili linanifundisha nini kuhusu jinsi Yehova anavyolinda watumishi wake waaminifu?’ (Zab. 97:10; Yer. 39:​15-18)

  • ‘Ni katika hali gani ninahitaji kuonyesha ujasiri?’

  • ‘Ninawezaje kuimarisha ujasiri wangu wa kutenda yaliyo sawa ninapokuwa chini ya mkazo?’ (w11 3/1 30)a

a Kuhusu miradi ya kujifunza, tazama “Dokezo la Kujifunza” katika gazeti la Mnara wa Mlinzi la Julai 2023.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki