Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yb05 uku. 65
  • Utendaji Wa Siku Hizi Wa Mashahidi Wa Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utendaji Wa Siku Hizi Wa Mashahidi Wa Yehova
  • 2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Tahiti
  • Guyana
  • Iceland
  • Tahiti na Jitihada za Kutafuta Paradiso
    Amkeni!—2003
  • Walijitoa kwa Hiari—Nchini Guyana
    Masimulizi ya Mashahidi wa Yehova
  • Je, Una Sababu ya Kuamini Kwamba Kutakuwa na Paradiso?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Yaliyomo
    Amkeni!—2003
Pata Habari Zaidi
2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
yb05 uku. 65

Utendaji Wa Siku Hizi Wa Mashahidi Wa Yehova

Tahiti

Visiwa vya Polinesia ya Ufaransa vinavyotia ndani Tahiti, ni kati ya visiwa vyenye kuvutia zaidi ulimwenguni. Watunga mashairi na waandishi wa vitabu wamevifananisha na paradiso. Lakini kuna paradiso yenye kupendeza hata zaidi kwenye visiwa hivi vyenye kuvutia vya Pasifiki. Chunguza jinsi paradiso hiyo bora sana ilivyotokea na jinsi inavyoendelea kuzaa matunda yenye kumtukuza Yehova.

Guyana

Jina Guyana linamaanisha “Nchi ya Maji Mengi.” Jina hilo linafaa kwa kuwa nchi hiyo ina mito mingi sana, na baadhi yake hutumiwa kusafiri kwenda kwenye vijiji na miji nchini humo. Soma jinsi ambavyo Mashahidi wa Yehova wametumia mitumbwi, mashua, na meli ili kuwaongoza watu wa jamii mbalimbali kwenye “maji yaliyo hai” katika nchi hii ambayo ndiyo nchi pekee ya Amerika Kusini ambako Kiingereza huzungumzwa.—Yoh. 4:10.

Iceland

Iceland ni nchi yenye kuvutia sana ambayo iko kusini ya Mzingo wa Aktiki, mbali na nchi za joto. Nchi hiyo yenye mawemawe ina barafu, volkeno, na milima inayoifanya iwe yenye kuvutia. Hata hivyo, watumishi wa Yehova ndio wenye kuvutia zaidi. Katika masimulizi haya, utapata kujua jinsi watumishi wa Mungu huvumilia hali mbaya ya hewa ili kuwahubiria wengine kweli ya Biblia.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki