YOELI YALIYOMO 1 Shambulizi kali la wadudu (1-14) “Siku ya Yehova iko karibu” (15-20) Nabii amlilia Yehova (19, 20) 2 Siku ya Yehova na jeshi lake kubwa (1-11) Wasihiwa wamrudie Yehova (12-17) “Irarueni mioyo yenu” (13) Yehova awajibu watu wake (18-32) “Nitaimimina roho yangu” (28) Maajabu mbinguni na duniani (30) Wale wanaoliitia jina la Yehova wataokolewa (32) 3 Yehova ahukumu mataifa yote (1-17) Bonde la Yehoshafati (2, 12) Bonde la uamuzi (14) Yehova, ngome kwa Israeli (16) Yehova awabariki watu wake (18-21)