Hudhuria “Njia ya Mungu ya Maisha” Mkusanyiko Ulio Karibu Nawe!
Mkusanyiko huo wa siku tatu wa Mashahidi wa Yehova utaanza Agosti 14 na kuendelea hadi Desemba 27 katika Afrika Mashariki na ya Kati. Katika Afrika Mashariki na ya Kati, mikusanyiko kadhaa imepangiwa—katika Kiingereza, Kiswahili, Kiganda, Lugha ya Ishara, na lugha nyinginezo.
Usikose hotuba zenye kuchochea na maonyesho mengi ya Biblia yenye kutumika. Na ufurahie drama yenye kutumika, ya mavazi kamili yenye kichwa “Familia—Fanyeni Usomaji wa Biblia wa Kila Siku Uwe Njia Yenu ya Maisha!” Hakuna malipo ya kuingia kipindi chochote. Ona orodha ya tarehe na mahali pa mikusanyiko.
JAMHURI YA DEMOKRASIA YA KONGO
Agosti 14-16
Uvira, Kivu Province
Bunia, Oriental Province
Agosti 21-23
Goma, Kivu Province
Beni, Kivu Province
Kindu, Maniema Province
Lubumbashi, Katanga Province
Agosti 28-30
Bukavu, Kivu Province
Butembo, Kivu Province
Likasi, Katanga Province
Septemba 3-5
Kalemia, Katanga Province
Kamina, Katanga Province
Kirungu (Moba), Katanga Province
Kolwezi, Katanga Province
Kongolo, Katanga Province
Septemba 10-12
Kisangani, Oriental Province
Pepa, Katanga Province
KENYA
Desemba 18-20
Mkusanyiko wa Kimataifa: Nairobi
Desemba 25-27
Eldoret
Kisumu
Mombasa
RWANDA
Desemba 4-6
Kigali
Desemba 11-13
Butare
Gisenyi
TANZANIA
Novemba 6-8
Mbeya
Tukuyu
Novemba 13-15
Dar es Salaam
Mbozi
Novemba 27–29
Moshi
Mwanza
UGANDA
January 8-10, 1999
Kampala (Kiingereza)
Mbale
January 15-17
Kampala (Kiganda)