Yaliyomo
Februari 22, 2000
Kujiua—Ni Nani Walio Hatarini Zaidi?
Msiba wa kisasa wa vijana kujiua umevutia uangalifu wa umma. Lakini, utajifunza mengi kutokana na simulizi la kikundi fulani kilicho hatarini zaidi.
3 Kujiua—Tatizo Lililojificha Linaloenea Kasi
10 Papa-mweupe Mkubwa—Ashambuliwa
16 Mzambarausime—Ua Lisilo la Kawaida Lenye Uzuri wa Kupendeza
18 Wakati Ujao Wenye Tumaini Licha ya Udhaifu
31 ‘Ulimwengu Wetu Ungekuwa Tofauti
Kwa Nini Rafiki Yangu Aliniumiza? 13
Nyakati nyingine urafiki hutokeza uhasama. Hilo hutukiaje? Utashughulikiaje tatizo hilo?
Warusi Wathamini Sana Uhuru wa Kuabudu 22
Tangu mwaka wa 1991, wakazi wa uliokuwa Muungano wa Sovieti wamefurahia uhuru zaidi wa kumwabudu Mungu. Uhuru huo pia umethaminiwa sana na wale ambao wamehamia nchi nyinginezo.