Yaliyomo
Septemba 8, 2000
Olimpiki—Malengo Yake Yalipatwa na Nini?
Michezo ya riadha iliyo maarufu zaidi ulimwenguni imekumbwa na kashfa. Je, malengo ya Michezo ya Olimpiki yatawahi kutimizwa?
4 Malengo ya Olimpiki Yanazorota
10 Kiungo Kilichotoka Sehemu za Mbali Sana za Dunia
14 Louis Braille—Kuwaangazia Nuru Wafungwa wa Giza
16 Volkeno Yenye Nguvu Sana Yawa Kisiwa Kitulivu
31 Upasuaji Bila Damu—Kisa Kilichofanikiwa
32 Ndicho Kinachozungumzia Habari Hiyo kwa Njia Bora Zaidi’
Mkataji-Miti wa Awali Angali Anafanya Kazi 22
Wakataji-miti wa kwanza kabisa wa Amerika Kaskazini walikuwa buku. Jifunze kuhusu bidii yao ya kazi.
Katika Septemba 21, 1999, Taiwan ilikumbwa na tetemeko la dunia lililosababisha uharibifu mkubwa. Wahasiriwa walisaidiwaje kurudia hali ya kawaida?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
AP Photo/Rich Clarkson/Pool